1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.09.2022 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S19 Septemba 2022

Jeneza la Malkia Elizabeth II lateremshwa kaburini/ Kufuatia kifo cha Malkia, kumeibuka tena miito ya kutaka kuanzishwa kwa falsafa ya serikali ya Jamhuri nchini Uingereza. Hata hivyo mwandishi wa DW anahoji kwanini ufalme unahitajika zaidi hivi sasa kuliko wakati wowote katika taifa hilo linalokabiliwa na kitisho cha kusambaratika/ DRC wahoji ukomo wa MONUSCO

https://p.dw.com/p/4H4U0