19.08.2020 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 19.08.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

19.08.2020 Matangazo ya Asubuhi

Rais wa Mali ajiuzulu baada ya kukamatwa na wanajeshi waasi/ Hatua ya hivi karibuni ya Umoja wa Falme za Kiarabu UAE kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia na Israel imeutikisa ukanda wa Mashariki ya Kati, ikitajwa na Iran kuwa “kosa kubwa”/ Maandamano yanayoendelea nchini Beirut sio ya kwanza dhidi ya kiongozi wa kimabavu Lukashenko. Hata hivyo ni ya kwanza ambapo raia wengi wamejitokeza kuandamana

Sikiliza sauti 51:59