1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.05.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S19 Mei 2021

Miito inazidi kutolewa juu ya kuumaliza mzozo kati ya Israel na Gaza/ Rais wa Tanzania amekuwa na kikao cha ndani na wakuu wa mikoa wapya aliowaapisha/ Kampeni ya utoaji chanjo inakabiliwa na upinzani barani Afrika. Kwanini hali iko hivyo na nini kinaweza kufanywa kubadili mitazamo?/ Malawi yateketeza chanjo zilizoisha za AstraZeneca/ Tanzania: Tatizo la mfumo wa ununuzi wa umeme kielektronik

https://p.dw.com/p/3tdEH