19.05.2020 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 19.05.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

19.05.2020 Matangazo ya Jioni

Mzozo wa kidiplomasia unatokota kati ya Kenya na Tanzania baada ya nchi hizo mbili kufungiana mipaka kutokana na madai ya kila nchi kuhusu kusambaa kwa virusi vya corona/ Burundi kabla ya uchaguzi/ HRW: Kukamatwa kwa Kabuga ni ushindi kwa waathirika wa mauaji ya kimbari Rwanda/ Waziri Mkuu wa Lesotho, Thomas Thabane amejiuzulu / Idadi ya wahanga wa ghasia za Afghanistan yaongezeka Aprili

Sikiliza sauti 59:59