1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.05.2020 Matagazo ya Asubuhi

TSA / S08S19 Mei 2020

Macron, Merkel wakubaliana Euro bilioni 500 kunusuru uchumi, Ulaya/ Burundi iliingia katika mzozo mkubwa wa kisiasa toka uchaguzi wa mwaka 2015/ Hapana shaka virusi vya corona vinasambaa kwa kasi duniani na kutikisa misingi ya mifumo ya afya, kuyumbisha uchumi na kuweka mifarakano katika jamii/ Ethiopia: Wagunduzi wametengeneza vifaa mbalimbali kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19

https://p.dw.com/p/3cRdR