Wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanapiga kura katika uchaguzi wa rais mpya unaokabiliwa na ushindani mkali// Mwendesha mashitaka mkuu wa Sweden, Marianne Ny, amesema siku ya Ijumaa kuwa amefanya uamuzi wa kuifuta kesi dhidi ya muanzilishi wa mtandao wa Wikileaks Julian Assange.