1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.05.2016 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S19 Mei 2016

Maafisa nchini Misri wamesema kuwa ndege ya taifa hilo iliyokuwa ikisafiri kutoka Paris Ufaransa kuelekea Cairo imetoweka na huenda imeanguka katika bahari ya Mediterrania// Hofu imetanda katika eneo la Ngorongoro kaskazini mwa Tanzania baada ya kuzuka wasiwasi kuwa wananchi wa kabila la Wamaasai waishio katika eneo hilo kuhamishwa na serikali.

https://p.dw.com/p/1IqWK