Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May amesema kufanyika kwa uchaguzi wa mapema mnamo Juni 8 mwaka huu badala ya kusubiri mwaka 2020 kutabadili hali ya mambo wakati wa mchakato wa mazungumzo na Umoja wa Ulaya na uchaguzi wa ndani kwa wakati mmoja// Korea Kaskazini ndiyo kitisho hatari zaidi kwa amani na usalama katika kanda ya Asia Pacific.