1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.03.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S19 Machi 2019

Baada ya Maalim Seif Sharif Hamad kukabidhiwa kadi yake ya uanachama wa chama cha ACT Wazalendo cha Zitto Kabwe leo hii jijini Dar es salaam, DW ilitaka kujua ni kwa jinsi gani wanasiasa hawa mahiri wenye itikadi mbili tofauti wanavyoweza kufanya kazi pamoja?/ Kongo: Uchambuzi wa hali ya kisiasa/ Maandamano mjini Algiers/ Ufaransa: Kufutwa kazi Kamishna mkuu wa polisi wa Paris kufuatia vurugu

https://p.dw.com/p/3FJvB