Tanzania: Hukumu katika kesi inayomkabili mwanzilishi wa mtandao wa Jamii Forum, Maxence Melo iliyotarajiwa leo imeahirishwa hadi mwezi Aprili. Melo amezungumza na mwandishi wetu Goeorge Njogopa/ Tanzania: Chama cha upinzani cha NCCR Mageuzi kimetoa onyo kwa chama tawala nchini humo CCM/ Iran imethibitisha kuwa watu wawili nchini humo wamekutwa na homa inayotokana na virusi vya Corona