1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.01.2022 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S19 Januari 2022

Marekani yaipa Ukraine Dola milioni 200 kuimarisha ulinzi wake/ Polisi Congo yawatia mbaroni washukiwa wa mauaji ya balozi wa Italia/ Somalia: Vikosi vya usalama vimeanzisha operesheni maalum kuzima mashambulio ya wanamgambo/ Serikali ya jimbo la Marsabit imeanza kusambaza chakula cha msaada kwa waathiriwa wa baa la njaa/ Wananchi wa Rwanda wadai kulazimishwa chanjo ya COVID-19

https://p.dw.com/p/45m5z