19.01.2022 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 19.01.2022
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

19.01.2022 Matangazo ya Jioni

Rais wa Ukraine ameelezea matumaini kuwa hakuna uamuzi wowote kuhusu nchi yake utakaochukuliwa bila kuishirikisha/ UN: Watetezi wa amani wanawake wana hali mbaya kiusalama/ Kenya: Polisi wameanzisha uchunguzi wa kutegua kitendawili cha miili inayotupwa katika Mto Yala> Mahojiano / Hali ya uhaba wa chakula na njaa katika maeneo mbalimbali ya Kenya/ Matajiri waomba kutozwa kodi

Sikiliza sauti 59:59