1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.01.2021 Taarifa ya Habari Asubuhi

Bruce Amani
19 Januari 2021

Mkosoaji wa serikali ya Urusi Alexei Navalny aitisha maandamano baada ya kufungwa jela // Ujerumani na Uturuki zaashiria mwanzo mpya katika mahusiano kati ya Uturuki na Umoja wa Ulaya // Na Kiongozi mkuu wa upinzani Uganda Bobi Wine asema wanajeshi wamevamia makao makuu ya chama

https://p.dw.com/p/3o6gO