Marekani inaonekana kuwa imejifunza kutokana mkasa wa wafuasi wa Trump wa kulivamia bunge na kufanya vurugu/ Idadi ya watu waliopewa adhabu ya kifo imepungua kwa kiasi kikubwa nchini Saudi Arabia/ Mwaka 2021 ni mwaka wa kimataifa wa kupambana na ajira ya watoto/ COVID-19: Msukumo wa kuwachanja watu wengi zaidi ulimwenguni umeanza taratibu na kusababisha ukosoaji mkubwa