1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

18.12.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S18 Desemba 2020

Gavana wa kaunti ya Nairobi Mike Mbuvi Sonko jana alikabiliwa na kura ya kumfuta kazi katika seneti. Gavana huyo anatuhumiwa kwa matumizi mabaya ya madaraka, ubadhirifu, kukiuka katiba na ukatili// Morocco inakusudia kuonesha kwamba Uyahudi ni sehemu ya utambulisho wake wa kitaifa// Mkuu wa Majeshi wa Marekani Jenerali Mark A. Milley amefanya mazungumzo ambayo hayakutangazwa na wajumbe wa Taliban.

https://p.dw.com/p/3mtfn