1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

18.11.2018: Matangazo ya Jioni

18 Novemba 2018

Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron auhimiza umoja wa Ulaya kujiimarisha na kushikama zaidi, Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May kurejea umoja wa Ulaya kujadilia makubaliano juu ya uhusiano wa baadae kati ya Uingereza umoja huo na Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aupinga mwito wa kuitishwa uchaguzi wa mapema.

https://p.dw.com/p/38TCZ