Mazungumzo kuhusiana na kuundwa kwa serikali ya muungano ya Ujerumani yanaanza leo// Vyama vya siasa kali za mrengo wa kulia vimeibuka na ushindi mara mbili barani Ulaya// Maendeleo ya haraka ya upatikanaji wa mtandao wa intaneti katika nchi za Afrika, yamesaidia harakati za upinzani, kuanzisha vuguvugu dhidi ya viongozi ambapo hapo awali walikuwa hawagusiki.