Rais wa Belarus aliweka jeshi kwenye hali ya tahadhari na kuimarisha ulinzi wa mpakani // Timu ya Navalny yasema alipewa sumu kwenye hoteli alimokuwa na wala sio uwanja wa ndege // Na Waziri mkuu mpya wa Somalia ateuliwa huku makubaliano ya uchaguzi yakifikiwa