1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

18.08.2021 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S18 Agosti 2021

Afghanistan: Mataifa ya kigeni yameendelea na zoezi la kuwaondoa wafanyakazi na raia wake baada ya kundi la Taliban kuchukua nchi/ Wanawake nchini Afghanistan wanahofia utawala wa Taliban utawarudisha nyuma katika maendeleo/ Amnesty International: Janga la Covid-19 limeweka wazi haja ya kushughulikia kwa haraka masuala muhimu ya muda mrefu yanayoukabili mfumo wa huduma za afya wa Somalia

https://p.dw.com/p/3z6iz