1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

18.06.2019 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S18 Juni 2019

Kenya: Wizara ya afya imezidisha juhudi za kukabiliana na mripuko wa ugonjwa wa ebola kwenye mipaka yake na taifa jirani la Uganda/ Mkutano wa kilele kuhusu uchumi baina ya Afrika na Marekani unafanyika/ Mkutano mkubwa wa masuala ya ulinzi wa wanyamapori na misitu umefunguliwa jijini Arusha/ Timu 24 zinajiandaa kuteremka uwanjani nchini Misri Juni 21 kwaajili ya kombe la mataifa barani

https://p.dw.com/p/3Kcao