Burundi yaandamwa na tuhuma za ukiukaji wa haki za binadamu/ EU yabainisha mkakati wa kuachana na nishati ya Urusi/ Juhudi zafanyika kuwazuia mafisadi kugombea nchini Kenya/ Kongo: Kongamano la amani la kujadili maridhiano baina ya makabila ya mikoa ya Katanga linafanyika mjini Lubumbashi