1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

18.05.2021 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S18 Mei 2021

Wakati Marekani ikitafuta njia ya kujiunga tena na mkataba wa nyuklia wa Iran, ipo makini sana na msingi uliowekwa na Trump katika mkataba huo/ Je, wazo la kusuluhisha mgogoro wa mashariki ya kati kwa kuundwa madola mawili yatakayoishi bega kwa bega ni ndoto?/ Zanzibar: Waislamu wana matumaini kwamba wataweza kutekeleza Ibada ya Hijja baada ya Tume Maalum kutathmini mapendekezo ya kutolewa chanjo

https://p.dw.com/p/3tXDa