1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

18.05.2017 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S18 Mei 2017

Dhana kwamba rais wa marekani Donald Trump ametumia vibaya madaraka yake, zinazidi kuhanikiza nchini Marekani// Serikali ya Venezuela imesema jana kwamba itapeleka vikosi katika ukanda unaokabiliwa na machafuko// Uchunguzi unafanyika katika gereza kuu la mjini Kinshasa-Kongo ilikufahamu idadi ya wafungwa waliotoroka na madhara yaliosababishwa na shambulio la hapo jana.

https://p.dw.com/p/2dAF2