Rais wa Burundi hatohudhuria mkutano wa kilele wa marais wa Jumuiya ya Afrika Mashariki-EAC utakao fanyika jumamossi mjini Dar es salam//Malawi inapanga kuupeleka mzozo wake na Tanzania kuhusiana na mipaka katika ziwa Malawi katika mahakama ya kimataifa mjini The Hague.