1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

18.04.2019 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S18 Aprili 2019

Rais aliyepinduliwa nchini Sudan Omar al Bashir hivi sasa anazuiliwa katika gereza la Kober mjini Khartoum// Qatar imetoa wito wa kuzuwiliwa silaha za kigeni wanazopelekewa vikosi vya mashariki mwa Libya vinavyoongozwa na Khalifa Haftar ambae operesheni zake za kijeshi kuelekea mji mkuu Tripoli zinasabisha mfarakano miongoni mwa nchi za Ghuba na Ulaya.

https://p.dw.com/p/3H0L7