Kampeni za uchaguzi nchini Algeria zimeanza kuelekea uchaguzi wa bunge uliopangwa kufanyika mwanzoni mwa mwezi Mei// Uchunguzi uliofanywa na serikali ya Tanzania kwa ushirikiano na shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya wafanyakazi unaonesha kwamba nchi hiyo inakabiliwa na tatizo la kukomesha ajira kwa watoto.