1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

18.03.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S18 Machi 2021

CCM kukutana baadae mwezi huu kufuatia kifo cha Magufuli// Mfahamu Rais ajaye wa Tanzania Samia Suluhu Hassan// Nchini Uganda, watu wamepokea habari za kifo cha rais John Pombe Magufuli kwa hisia mseto za mshtuko,mshangao na huzuni// Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema kimesema kimepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha rais John Magufuli.

https://p.dw.com/p/3qpJN