Afrika ya kusini inaongoza katika idadi ya visa vya wagonjwa wa Corona katika eneo la kusini mwa jangwa/ Sekta ya Benki nchini Kenya itaongeza muda wa malipo ya mikopo kwa kipindi cha mwaka mmoja, kutokana na athari za virusi vya Covid-19/ Serikali ya Zanzibar imezifunga shule zote, vyuo vikuu pamoja na madrasa