18.01.2019 Matangazo ya Asubuhi | Media Center | DW | 18.01.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

18.01.2019 Matangazo ya Asubuhi

Marais na viongozi wa serikali za nchi za maziwa makuu na eneo la kusini mwa Afrika wamefanya mkutano jijini Addis baba, nchini Ethiopia kujadili hali katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo// yama vingi vya siasa za mrengo mkali wa kulia barani Ulaya vimekuwa na misimamo ya kutofautiana juu ya Umoja wa Ulaya

Sikiliza sauti 51:59