1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.12.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S17 Desemba 2020

Rais mteule wa Marekani Joe Biden punde atakapoingia madarakani huenda atachukua mbinu ya rais Donald Trump ya kutumia vikwazo katika mambo mbalimbali anayotaka kuyatekeleza// Miaka 10 iliyopita mchuuzi wa mboga, Mohamed Bouazizi alijichoma moto kwenye mji wa Sidi Bouzid nchini Tunisia// Vizuizi vilivyowekwa na serikali duniani kupambana na virusi vya corona vimezidisha mbinyo kwa haki za kiraia.

https://p.dw.com/p/3mqUH