Maelfu ya watu wafanya maandamano makubwa ya kuipinga serikali ya Jamhuri ya Czech // Umoja wa Mataifa waonya kuwa machafuko nchini Bolivia huenda yakafikia kiwango cha kutodhibitiwa // Na waandamanaji Iran wakabiliana na polisi kupinga hatua ya serikali kuongeza bei za mafuta