Merkel: Ujerumani haitopeleka silaha yoyote nchini Uturuki// Vikosi vya Syria vyaingia mji muhimu wa Kobani// Maandamano ya vurugu Catalonia, watu 80 wajeruhiwa// Maandamano ya upinzani yaahirisha bunge HongKong// Uhusiano kati ya Ujerumani na Ufaransa, Uvamizi wa Uturuki nchini Syria na maonyesho ya kimataifa ya vitabu mjini Frankfurt ni miongoni mwa mada magazetini.