1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.09.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S17 Septemba 2021

Maaskofu wa kanisa Katoliki nchini Kenya wamewataka Ruto na Kenyatta kuzika tofauti zao kufuatia uhasama wa miezi mingi+++Viongozi wa majimbo wataka kumalizwa kwa mgogoro wa kimamlaka Somalia+++Wakuu wa mataifa ya kanda ya Afrika Magharibi wametangaza vikwazo dhidi ya viongozi wa mapinduzi nchini Guinea+++Urusi imeanza zoezi la upigaji kura katika uchaguzi wa wawakilishi 450 wa bunge la Duma.

https://p.dw.com/p/40SE1