1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.09.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S17 Septemba 2021

Balozi wa Umoja wa Mataifa wa serikali ya Afghanistan iliyoondolewa madarakani ameomba kubakia katika nafasi yake+++Ujumbe wa viongozi wa Jumuiya ya kiuchumi ya mataifa ya Afrika Magharibi ECOWAS umewasili Guinea leo Ijumaa+++Congo kuzinduwa sensa ya watu na vitambulisho vya uraia+++Mawaziri wa mazingira wakikubaliana kuwa na mpango wa kuongeza uwekezaji na kulipa kipao mbele swala la mazingira.

https://p.dw.com/p/40TBd