Uchaguzi wa Israel: Netanyahu awania muhula wa nne/ Ziara ya kwanza ya rais wa DRCongo Tshisekedi Ubeligiji/ Uturuki, Urusi na Iran wakubaliana kuhusu katiba ya Syria/ Mjumbe maalum wa Afrika Kusini ameiomba msamaha Nigeria kufuatia machafuko ya chuki dhidi ya wageni / Thunberg amepokea tuzoya kuwa balozi wa wenye bidii na uangalifu kutoka Amnesty International USA