1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.09.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S17 Septemba 2019

Kiongozi wa Iran aondoa uwezekano wa mazungumzo na Marekani/ Kikao cha 74 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kitafunguliwa rasmi na Katibu mkuu wa umoja huo Antonio Guterres kwa kumkaribisha Rais anayeingia wa baraza hilo Tijani Mohamed wa Nigeria/ Tanzania: Viongozi tisa wa CHADEMA wameshindwa kuanza kujitetea katika kesi ya uchochezi inayowakabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu

https://p.dw.com/p/3PjsW