1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.09.2018 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S17 Septemba 2018

Urusi na Uturuki kuendelea kujadili Syria/ Rwanda: Victoire Ingabire ameachiwa huru mwishoni mwa wiki kutokana na amri ya rais Kagame. Katika mahojiano na DW ameelezea matumaini ya kuiona Rwanda ikifinua milango kwa vyama vyengine vya kisiasa/ Nchini Kenya leo kuimeibuka mkasa wa kufichwa miili ya watoto wachanga katika boksi/ Wakuu wa kupambana na mihadarati Afrika wakutana Tanzania

https://p.dw.com/p/352NC