1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.08.2018 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S17 Agosti 2018

Ujumbe wa umoja wa Ulaya nchini Uganda, balozi za nchi wanachama wa umoja huo pamoja na ubalozi wa Marekani wameshtumu vikali ghasia zilizotokea mjini Arua Kaskazini mwa Uganda siku ya Jumatatu// (Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel amesema serikali yake itaharakisha juhudi za kuwarudisha makwao wakimbizi wote ambao maombi yao ya kupewa hifadhi yamekataliwa.

https://p.dw.com/p/33KKR