Bunge la Ulaya limepiga kura kumchaguwa rais wa halmashauri kuu ya Umoja wa Ulaya/ Tanzania: Tume ya Taifa ya uchaguzi NEC imesema kwamba imejipanga kikamilifu kuendesha zoezi la uboreshwaji wa daftari la kudumu la wapigakura linalotarajiwa kuzinduliwa katika mji wa Moshi/ Leo dunia inaadhimisha siku ya haki ya kimataifa