1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.07.2018 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S16 Julai 2018

Mkutano wa kilele kati ya rais Donald Trump wa Marekani na mwenzake wa Urusi Vladmir Putin umemalizika huko Helsinki/ Mkutano wa kila mwaka wa kilele kati ya China na Umoja wa Ulaya/ Kenya: Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama amefungua kituo cha vijana pamoja na kutembelea kijiji cha Kogelo alipozaliwa na kuzikwa baba yake mzazi/ Eritrea imefungua tena ubalozi wake nchini Ethiopia

https://p.dw.com/p/31YWF