1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.06.2022 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S17 Juni 2022

Jeshi la Rwanda limesema kuwa mwanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aliyebeba bunduki aina ya AK-47 amevuka mpaka na kuwafyatulia risasi polisi wa Rwanda+++Nchini Rwanda kunafanyika mkutano wa makamishna wakuu wa tume za haki za binadamu kutoka nchi za Jumuiya ya Madola+++Viongozi wakutana Madrid kuadhimisha siku ya kupambana na ukame.

https://p.dw.com/p/4Cs7v