1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.05.2022 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S17 Mei 2022

Maafisa wakuu wa upelelezi wa majeshi ya Rwanda na Uganda wamefikia makubaliano ya ushirikiano wa karibu/ Tanzania: Chama kikuu cha upinzani kimemshtumu rais Samia Suluhu Hassan kuhusika katika kuwarudisha bungeni wabunge 19 wa viti maalum wa chama hicho ambao walifutiwa uanachama/ Serikali ya Mali yazuia jaribio la mapinduzi/ Biden aridhia uwepo wa wanajeshi wa Marekani Somalia/ Mzozo wa Ukraine

https://p.dw.com/p/4BPbe