1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.05.2021 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S17 Mei 2021

Mji wa Gaza washambuliwa vibaya na Israel/ Congo: Watu 30 walihukumiwa adhabu ya kifo> Mahojiano/ Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Kenya imeanza mchakato rasmi wa kukata rufaa dhidi ya uamuzi wa wiki iliyopita wa Mahakama Kuu kusimamisha mchakato wa kuibadilisha katiba ya nchi hiyo kupitia mpango wa Maridhiano ya kitaifa maarufu kama BBI/ Ufarasa kuisaidia Sudan kulipa deni la nje

https://p.dw.com/p/3tUkO