1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.05.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S17 Mei 2021

Blinken ameiomba Israel itoe maelezo na ushahidi wa kuhalalisha mashambulizi iliyoyafanya dhidi ya jengo la ofisi za mashirika ya habari ya kimataifa katika Ukanda wa Gaza/ Viongozi Kenya watoa hisia kuhusu rufaa ya BBI/ Rais wa Tanzania amepokea taarifa ya kamati aliyounda kutathmini hali ya ugonjwa wa Covid-19/ Kesi ya ufisadi dhidi ya Zuma yaahirishwa

https://p.dw.com/p/3tWAK