1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.04.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S17 Aprili 2019

Viongozi wa kijeshi wa Sudan wamemhamishia rais aliyepinduliwa Omar al-Bashir katika jela ya Kober ya mji mkuu Khartoum// Mjumbe wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya Libya Ghassan Salame leo ametaka kusitishwa kwa mashambulizi yanayofanywa katika mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli// Sheria ya uchaguzi utakao fanyika Burundi mwaka ujao wa 2020 imeidhinishwa na bunge la nchi hiyo jioni hii.

https://p.dw.com/p/3GzW6