Kampeini nchini Indonesia ya uchaguzi ujao wa rais imetawaliwa na suala la nafasi ya uislamu kama dini katika siasa za nchi hiyo// Moto mkubwa umesababisha uharibufu mkubwa katika kanisa katoliki la Notre Dame mjini Paris jana jioni nchini Ufaransa// Huenda taifa la Kenya likawatambua watu wenye jinsia mbili. (Intersex).