Shirika la habari la serikali ya Syria limeripoti kwamba mfumo wa kujikinga na makombora wa nchi hiyo umezuia uvamizi kwa kuyaangusha makombora katika eneo la kati la Homs mapema leo// Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo kadhaa nchini Tanzania ikiwa ni pamoja na mkoani Daresalaam zimesababisha uharibifu wa miundo mbinu pamoja na idadi kadhaa ya watu kupoteza maisha.