Makosa ya upimaji wa Corona yaigharimu Pakistan/ Serikali ya kaunti ya Mombasa imetenga wodi maalum katika hospitali kuu ya ukanda wa Pwani pamoja na kuwapa mafunzo maalum wahudumu wa afya 24 kwa ajili ya kutoa huduma kwa watu watakaopatikana na maambukizi ya virusi vya corona/ Wababe wawili wakivita wa zamani nchini Congo wameachiwa huru