Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani ameonya kuwa Urusi itapata tabu iwapo itaivamia Ukraine/ UAE: Watatu wafa katika mlipuko/ Mjumbe mpya wa Umoja wa Mataifa katika ukanda wa Sahara Magharibi ziarani Algeria/ Kenya: IEBC imeanza awamu ya pili ya kuwasajili wapiga kura kote> Mahojiano/ Kasi ya mfumko wa bei ya mafuta imewaweka Waganda katika mashaka makubwa