1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.01.2020 Matangazo Ya Jioni

SK2 / S02S17 Januari 2020

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amewaagiza maafisa wa usalama katika eneo la Pwani na Kaskazini mwa nchi hiyo kushirikiana na viongozi wa kisiasa na kidini kuwazuia magaidi kupata mwanya wa kujificha katika jamii/ Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Urusi Sergei Lavrov amesema Iran ilifanya makosa ya kuidungua ndege ya abiria ya Ukraine, katika mtafaruku uliosababishwa na ndege za kivita za Marekani

https://p.dw.com/p/3WNHv